Skip to main content
Skip to main content

Mtu mmoja auawa na pikipiki kuteketezwa Isinya baada ya mzozo kati ya jamii mbili

  • | Citizen TV
    5,244 views
    Duration: 2:53
    Mtu mmoja ameuawa kufuatia vurugu za usiku na mchana kutwa kati ya jamii mbili zinazozana eneo la Isinya kaunyi ya Kajiado. Hali imesalia tete eneo hilo kufuatia mzozo uliosababisha kuchomwa kwa pikipiki mbili.Kamanda wa polisi kaunti ya Kajiado Alex Shikondi sasa akisema watu saba waliohusishwa na vita vya leo wamekamatwa