Mtu mmoja auwawa huku familia zaidi ya 80 zikihama kwao Baringo

  • | Citizen TV
    1,252 views

    Mtu mmoja zaidi aliuwawa katika eneo la Chepkwel Baringo Kaskazini huku mamia ya mifugo yakiibwa usiku wa kuamkia leo. Hali hiyo ikilazimisha familia themanini kuhama kwa mara ya pili na kutafuta makao mbadala kwa hofu ya kuvamiwa tena na majambazi hao.