Mtu mmoja auwawa na wawili wajeruhiwa Garissa

  • | Citizen TV
    1,691 views

    Mtu mmoja ameuawa na wengine wawili wamewachwa na majeraha ya risasi kufuatia uvamizi katika kijiji cha Bulamzuri, eneo la Kunaso kaunti ya Garissa.