- 11,361 viewsDuration: 2:39Mtu mmoja ameuawa baada ya kuumwa na nyuki huku wengine zaidi ya kumi wakichwa na majeraha kwenye tukio hilo eneo la Loikas, Maralal kaunti ya Samburu. Inaripotiwa kuwa nyuki hao walivamia wakazi huku maafisa wa usalama wakiwa na wakati mgumu hata kuutoa mwili wa marehemu