Mtu mmoja mji wa Madogo kaunti ya Tana River auwawa baada ya kushambuliwa

  • | Citizen TV
    335 views

    Familia moja kutoka mji wa Madogo kaunti ya Tana River inalilia haki baada ya mwana wao kudungwa kisu na kuuwawa na mmoja wa wanachama wa genge hatari katika eneo hilo.