Muathiriwa wa shambulizi la Riverside hatimaye arejea shuleni

  • | Citizen TV
    Miaka sita baada ya kukosa kuhudhuria masomo kwasababu ya ukosefu wa karo, hatimaye mvulana mmoja ambaye aliathirika na shambulizi la kigaidi katika mkahawa wa dusitd2 mwaka jana hatimaye amepata ufadhili wa masomo ya shule ya upili. Emmanuel omala ambaye alifanya mtihani wa kcpe mwaka wa 2013 hakuweza kundelea na masomo yake na akalazimika kutafuta njia za kutafuta riziki hadi wakati wa shambulizi lililomuathiri.