Mucheru awataka wakenya kuunga mkono BBI

  • | KBC Video
    Waziri wa habari Joe Mucheru sasa amewataka wakenya kuunga mkono mchakato wa marekebisho ya kikatiba wa BBI ili kudumisha amani na uthabiti nchini. Mucheru alisema hayo huko Nyeri ambapo aliongeza kuwa mafanikio ya uchumi nchini yanatokana na utulivu ulioko baada ya kuafikiana kwa rais Uhuru Kenyatta na kinara ya ODM Raila Odinga .Hayo yanajiri huku baadhi ya viongozi wa ODM wakimtaka naibu rais William Ruto kutangaza hadharani msimamo wake kuhusu mswada wa BBI. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive