Mudavadi aihakikishia nchi na jamii ya kimataifa kuwa Kenya itadumisha urafiki wake na Marekani

  • | NTV Video
    59 views

    Mkuu wa Mawaziri ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amei hakikishia nchi na jamii ya kimataifa kuwa Kenya itadumisha urafiki wake na Marekani na kwamba Nairobi haina mzozo na jirani yeyote yule.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya