Mudavadi asema kenya imeweka juhudu kabambe

  • | Citizen TV
    234 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia mudavadi amesema kuwa serikali inafanya kila iwezalo kuwashirikisha wakimbizi katika kambi za Dadaab na Kakuma katika jamii zinazoishi eneo hilo