Mudavadi awahimiza wananchi kudumisha amani

  • | KBC Video
    2,329 views

    Waziri mwenye mamlaka makuuMusalia Mudavadi anatoa wito kwa wakenya wadumishe amani na utangamano humu nchini na kuilinda kwa vyovyote vile. Akiongea alipokutana na wakenya mjini mjini Abuja Nigeria,Mudavadi alisema wakenya wanapasa kuepuka kuwashambulia maafisa wa usalama ambao hutumia muda wao mwingi kuwalinda dhidi ya hatari za humu nchini, mipakani na mataifa ya kigeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive