Mudavadi awaonya wale wanaolaghai bima ya NHIF

  • | KBC Video
    28 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewatahadharisha walaghai wanaopunja hazina ya bima ya malipo ya matibabu ya NHIF, akiwataja kuwa kizingiti kikuu cha utoaji wa huduma za afya kwa wakenya. Mudavadi alisema serikalia inahabari kuhusu walaghai hao katika sekta ya bima ya matibabu ambao wana niya mbaya dhidi ya hazina ya NHIF.Hayo yanajiri huku hazina kuu ikitoa shilingi bilioni 11 kwa hazina ya NHIF kuiwezesha kuwalipa wadeni wake nchini ambao hutoa huduma za matibabu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #nhif #dirayamagwiji