Mudavadi awataka wakenya wawe watulivu huku serikali ikiweka mikakati ya kuimarisha uchumi

  • | KBC Video
    35 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amewataka wakenya wawe watulivu huku serikali ikiendelea kukadiria mikakati ya kuimarisha uchumi na kupunguza gharama ya maisha. Akikiri kwamba maisha ni magumu kwa wakenya, Mudavadi alisema serikali inatafuta ushirikiano wa kina na endelevu katika sekta za biashara na uwekezaji ambao utasaidia kuimarisha uwezo wa Kenya kwa ulimwengu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive