Mudavadi: Kukamatwa kwa Boniface Mwangi iwe Funzo kwa Wakenya kuheshimu sheria za nchi zingine

  • | NTV Video
    2,315 views

    Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi amesema kuwa kisa cha Boniface Mwangi kukamatwa Tanzania kinatakiwa kuwa funzo kwa Wakenya kuheshimu sheria na kanuni za nchi za kigeni wanapokuwa kwa shughuli zao rasmi ama za kibinafsi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya