- 1,819 viewsDuration: 5:27Waziri mwenye mamlaka makuu, Musalia Mudavadi amesema kuna uwezekano kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka-2027 huenda ukafutiliwa mbali hata kabla uandaliwe. Akizungumza wakati wa makala ya 46 ya tamasha ya kitamaduni ya Lologooli kwenye kaunti ya Vihiga, Mudavadi alisema taifa hili linakabiliwa na taharuki kubwa ya kisheria baada ya kushindwa kuzingatia vipengee kadhaa vya katiba kuhusu uratibu wa mipaka na hatua ya kufutiliwa mbali kwa sensa ya mwaka-2019 kwenye kaunti za Wajir, Garissa na Mandera. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive