Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi amesema serikali itaendelea kushirikiana na mashirika ya kidini katika kujenga taifa lililostawi. Akizungumza wakati wa mkutano mkubwa wa maombi ulioandaliwa na Kanisa la Global Cathedral katika ukumbi wa KICC, Nairobi, Mudavadi alisema serikali iko tayari kupokea ukosoaji wa kujenga na mwongozo wa kimaadili kutoka kwa Kanisa kwa manufaa ya taifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive