Muhogo wa Jang’ombe wafika India.

  • | BBC Swahili
    1,736 views
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wamekaribishwa nchini India kwa kupigiwa kibao maarufu cha Taarab Muhogo wa Jang’ombe na bendi moja ya muziki wa asili nchini humo. Rais Samia yupo nchini India kwa ziara ya kikazi kufuatia mwaliko wa serikali ya nchi hiyo. 🎥 MyGovIndia #bbcswahili #taarabu #shots Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw