Muhubiri Mackenzie adinda kufika mahakamani hii leo

  • | Citizen TV
    1,586 views

    Muhubiri tata Paul Mackenzie na washirika wake ambao ni washukiwa wa mauwaji ya Shakahola walifikishwa kizimbani katika mahakama ya Shanzu ili kusikiza kesi ya endapo wataachiliwa kwa dhamana au la.