MUI HUWA MWEMA: Maisha ya mbeleni ya Kundi la makongeni young farmers yalikuwa ya uhalifu

  • | TV 47
    Maisha ya mbeleni ya Kundi la makongeni young farmers yalikuwa ya uhalifu, Wamejiunga na shughuli mbalimbali ikiwemo ufugaji wa wanyama. Wanaomba maarifa kutoka kwa serikali ili wasididimie. #UpeoWaTV47