Mume aliyeoa wake 8 Rwanda, anataka kuongeza wafike 11: AMKA NA BBC 16:09:20

  • | BBC Swahili
    Miongoni mwa habari tulizowaandalia hii leo, Jamaa mmoja ameoa wake zake nane, na anataka kufuata nyayo za babake na kuwa na wanawake 11. Kila mke wake amemjengea nyumba,na kumnunulia shamba. Mara kwa mara huwakutanisha pamoja kama familia. #AMKANABBC #Rwanda #Familia #Ndoayawakeweni #Ukewenza