"Mume wangu anapenda pia ninachokifanya" - Rose Ndauka

  • | BBC Swahili
    540 views
    Tasnia ya filamu nchini Tanzania inazidi kukua kila siku huku baadhi ya filamu zikifanikiwa kuingia katika majukwaa ya kimataifa ya filamu ikiwemo mtandao kama Netflix. Ingawa ni kwa uchache, @iamrosendauka, Mugizaji wa zamani na ambaye moja ya filamu aliyoigiza 'Nyara' imefanikiwa kuingia katika jukwaa anasema hayo moja ya mafanikio aliyoyasubiri kwa zaidi ya miaka 10 ya uigizaji wake. Mwandishi wa BBC veronica Mapunda amezungungumza naye na kumuuliza kwa nini filamu za Tanzania hazipenyi kwa wingi kwenye majuukwaa ya kimataifa #bbcswahili #tanzania #netflix