Mumiliki wa nyumba ya kukodi ang'oa mabati kwa dai deni kwa mpangaji

  • | West TV
    Familia imelazimika kukesha nje mjini Eldoret baada ya mumiliki wa nyumba ya kukodi kuamua kungo'a mabati ya nyumba baada ya waliokodisha kukosa kulipa deni la shilingi mia tano. Familia hiyo yenye kipato kidogo kimetoa kilio cha msaada