Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aibua wasiwasi kuhusu vitoza machozi kupatikana mikononi mwa raia

  • | NTV Video
    2,183 views
    Duration: 1:34
    Waziri wa usalama na maswala ya ndani, Kipchumba Murkomen, ameibua wasiwasi kuhusu vifaa vya kutoa machozi kupatikana mikononi mwa raia akionya kuwa hali hiyo ni kama kumiliki bunduki na risasi kinyume cha sheria. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya