Murkomen akosa kuzungumzia kitendawili cha Lagat

  • | KBC Video
    296 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen aliepuka kuzungumzia mdahalo unaotokota wa uwezekano wa kurejea afisini kwa naibu inspekta jenerali wa polisi Eliud Lagat, ambaye alijiondoa kwa muda kutoa fursa ya uchunguzi kuhusiana na kuuawa kwa Albert Ojwang. Akiwahutubia wanahabari jijini Nairobi leo, Murkomen alikosa kufafanua kinagaubaga kuhusu suala hilo lakini akaahidi kutoa taarifa ya kina kuhusu hali ya usalama wa taifa kesho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive