Murkomen akutana na machifu

  • | Citizen TV
    247 views

    Machifu na naibu chifu zaidi ya 8,102 nchini wanatarajiwa kupokea mafunzo ya usalama na ujuzi wa kisheria ambapo 1,000 yao tayari wameanza kupata mafunzo katika Chuo cha Kitaifa cha Polisi, Embakasi A, jijini Nairobi