Murkomen Amkosoa LSK, atetea mashtaka ya ugaidi dhidi ya waandamanaji

  • | Citizen TV
    531 views

    Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amemkosoa rais wa chama cha Mawakili chini LSK, Faith Odhiambo, kwa kupinga mashtaka ya ugaidi yanayowakabili waandamanaji wanaodaiwa kutekeleza uhalifu wakati wa maandamano. Akizungumza katika mikutano ya Jukwaa la Usalama mjini Eldoret, Waziri Murkomen alitetea mashtaka hayo ya ugaidi, akisema kuna Ushahidi wa kutosha dhidi ya washukiwa.