- 10,258 viewsDuration: 1:09Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen amemuonya kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua dhidi ya kuvuruga amani atakapokuwa anarejea nchini alhamisi wiki hii. Murkomen ametishia kukamatwa kwa Gachagua iwapo shughuli zake za kisiasa siku hiyo zitachangia uharibifu wa mali