Murkomen atetea takwimu za vifo vya maandamano licha ya tofauti na makundi ya haki za binadamu

  • | TV 47
    27 views

    Waziri Murkomen alitangaza kuwa idadi ya vifo ni 42.

    Vikundi vya haki za binadamu vimeripoti makadirio ya juu zaidi.

    Murkomen asema takwimu hizo ni kutoka rekodi za polisi zilizothibitishwa.

    Murkomen: Serikali iko tayari kusawazisha takwimu na wenye idadi tofauti.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __