Murkomen atetea uamuzi wa serikali kuhusu mashtaka ya ugaidi

  • | KBC Video
    18 views

    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, ameonya kwamba serikali haitayumba kuhusu mashtaka ya ugaidi dhidi ya watu wanaohusika na uharibifu wa mindombinu muhimu, na ofisi za serikali ikiwa ni pamoja na vituo vya polisi. Waziri aliyekuwa kwenye ziara ya kampeni ya Jukwaa la Usalama eneo la North Rift mjini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, alisema uamuzi kuhusu kesi hizo utatolewa na mahakama pindi washukiwa watakapofikishwa mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive