Murkomen: Maafisa wa usalama kupelekwa Todonyang, kaunti ya Turkana

  • | KBC Video
    236 views

    Serikali inapanga kuwapeleka maafisa wa vitengo mbalimbali vya usalama katika eneo la Todonyang, kaunti ya Turkana kufanikisha oparesheni ya usalama kufuatia shambulizi lililotekelezwa dhidi ya wavuvi katika ziwa Turkana lililowaacha kadhaa wakiwa wamefariki huku wengine wasijulikane waliko. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen, ambaye yuko kwenye kaunti ya Turkana kwa jili ya ziara maalum ya kudumisha usalama almaarufu Jukwaa La Usalama, hatahivyo alisema idadi kamili ya manusura bado haijathibitishwa kutokana na utata unaozingira mkasa huo uliotokea mwezi Februari, mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive