Murkomen: Tuko Tayari Kufadhili Mawakili kwa Polisi Wanaoshitakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Nguvu

  • | NTV Video
    930 views

    Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen amesema yuko tayari kufadhili huduma za mawakili kwa maafisa wa polisi watakaoshtakiwa kwa misingi ya kutumia nguvu kupita kiasi katika maandamano ya jana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya