Musalia Muadavadi na Moses Wetangula wasutwa kwa kutowasilisha matatizo ya magharibi kwa serikali

  • | West TV
    116 views
    Viongozi kutoka eneo la magharibi waliomo serikali kuu wamelaumiwa pakubwa kwa kutotumia nafasi zao kupigania maslahi ya wakazi wa eneohili na badala yake kufurahia tu madaraka waliotunukiwa