Musalia Mudavadi adai Magharibi imesalia nyuma kimaendeleo kwa kuwa katika Upinzani

  • | West TV
    142 views
    Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi akiwa katika hafla ya mkutano ya Wazee wa Jamii ya Magharibi amesema kuwa eneo la Magharibi kwa muda limesalia na maendeleo duni kwa kuwa katika mrengo wa upinzani