Musalia Mudavadi apuuza mvutano na Spika Wetangula

  • | Citizen TV
    3,300 views

    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amepuuzilia mbali madai kuwa huenda kuna vita vya ubabe baina yake na spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula, akitaja maneno hayo kama fitina. Akizungumza katika eneo bunge la shinyalu ambako baadhi ya viongozi wa kenya kwanza walijumuika, viongozi kutoka eneo la magharibi waliafikiana kuunguna katika chaguzi za siku zijazo ili wawe na muelekeo mmoja. Matamshi haya yakijjiri huku katibu mkuu wa chama cha UDA Cleophas Malala aliyekita kambi kaunti ya bungoma akiwakashifu badahi ya viongozi wa magharibi.