Musalia; Pesa zaidi zielekezwe katika kushughulikia majanga

  • | KBC Video
    18 views

    Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi anataka fedha zaidi zitolewe kushughulikia majanga ya kibinadamu. Akiongea wakati wa ufunguzi rasmi wa kongamano la kumi la kushughulikia masuala ya bara Afrika , Mudavadi alisema Afrika kama bara liko kwenye hatari ya kupoteza maisha kutokana na mafuriko na kiangazi.Alipongeza shughuli za kibinadamu ambazo shirika la msalaba mwekundu na lile la Red Crescent networks zimekuwa zikitekeleza barani Afrika ili kukabili mateso katika jamii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News