Mustakabali Wa IEBC: Bunge lapendekeza mabadiliko ya kina

  • | KBC Video
    26 views

    Bunge linapendekeza marekebisho makubwa katika tume huru ya uchaguzi kupitia mswada unaolenga kushadidi mamlaka ya mwenyekiti wa tume ya iEBC na kupanua uwanachama wa jopo la uteuzi wa makamishna wa tume hiyo kutoka wanachama saba hadi tisa jinsi ilivyopendekeza kamati ya maridhiano ya kitaifa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive