Mustakabali wa NG-CDF

  • | Citizen TV
    246 views

    Kwa siku ya pili, wananchi wameendelea kutoa hisia zao kuhusu mswada kuhusu hazina za maeneo bunge NG=CDF na ya waakilishi wa kike NG-AAF na ya utendakazi wa maseneta. Katika kaunti za Nyamira, Kisii, Bungoma, Nandi, Nakuru na Nyeri, wakaazi hao wameshinikiza wabunge kuhakikisha kuwa fedha hizo zimesaliaili waweze kuwafaidi.