Musyi FM yashirikisha umma kujadili mswada wa fedha wa mwaka wa 2025/2026

  • | Citizen TV
    245 views

    Musyi Fm ambacho ni kituo maarufu zaidi cha Redio cha Ukambani kimeshirikisha umma na wakaaji kutoka Machakos kupata maoni yao kuhusu Mswada wa Fedha wa mwaka wa 2025/2026.