Muuguzi Brigid Kelunyo Sanaipei afariki akiwa Ireland

  • | Citizen TV
    2,990 views

    Familia moja iliyoko Kabarnet, Kaunti ya Baringo, inatafuta majibu kuhusu kifo cha ghafla cha binti yao Brigid Kelunyo Sanaipei mwenye umri wa miaka 23 ambaye alikufa katika mazingira yasiyojulikana nchini Ireland.