Muuguzi muuaji wa Uingereza: Nini kilimsukuma kuua watoto saba?

  • | BBC Swahili
    636 views
    Siku kadhaa zilizopita Muuguzi mmoja wa Uingereza Lucy Letby alikutwa na hatia ya kuwaua watoto saba katika hospitali ya Countess of Chester, kisa adimu ambacho kimeshangaza wengi. Kesi inayomkabili sasa imemalizika, lakini maswali mengi bado hayajajibiwa, ikiwa ni pamoja na kwanini aliua na aliwezaje kufanya hivyo. #bbcswahili #uingereza #watoto