Muungano wa Azimio umeitisha mkutano wa wabunge kubaini ni wangapi waliosalia katika Azimio

  • | K24 Video
    122 views

    Muungano wa Azimio umeitisha mkutano wa wabunge alhamisi wiki hii kubaini ni wangapi waliosalia katika Azimio hasa baada ya viongozi kadhaa kuonekana kususia mikutano ya hadhara inayofanywa na muungano huo kupinga serikali ya rais Ruto kiongozi wa wachache Opiyo Wandayi amesema ajenda ya mkutano huo ni kubaini walioasi kushirikiana na Azimio kabla ya mkutano wa ijumaa utakaokuwa mavoko, kaunti ya Machakos.