Muungano wa Azimio unapanga maandamano siku ya saba Ijumaa

  • | K24 Video
    64 views

    Muungano wa Azimio umeitetea hatua yao ya kuitisha maandamano na kutaka wakenya kususia kulipa ushuru. Kulingana na kinara Raila Odinga muungano huo unashikilia kuwa unafuata sheria na wala mipango yao haina nia yoyote ya kuleta vurugu nchini. Katika jitihada za kupinga ongezeko la ushuru na gharama ya maisha chini , Odinga amesema ataendelea kuwahimiza wakenya wasusie kulipa ushuru