Muungano wa Azimio unatishia kujiunga na madaktari kwenye maandamano yao

  • | K24 Video
    53 views

    Muungano wa Azimio sasa unatishia kujiunga na madaktari kwenye maandamano yao iwapo serikali haitasuluhisha utata unaozingira maswala ya madaktari. Wakiongoza na kinara wa wiper kalonzo musyoka wanahoji mahali serikali inapeleka ushuru wanaokusanya kutoka kwa wakenya na kumsuta Rais William Ruto baada ya kupuuzilia mbali matakwa ya madaktari. Muungano huo unataka uchunguzi kufanyika kuhusu mbolea ghushi na waziri wa kilimo mithika linturi kupigwa kalamu kwa kutowajibika ipasavyo