Muungano wa Azimio waafanya mkutano na wabunge wake kuhusu mswada tata wa fedha 2023

  • | Citizen TV
    4,829 views

    Muungano wa Azimio leo umeandaa kikao maalum na wabunge wake ili kuweka mikakati yao kuhusu mswada tata wa fedha. Azimio inanuia kuweka mikakati ya namna itakavyopinga mswada huo uliozua utata miongoni mwa wakenya. Kikao hicho ambacho kimeandaliwa katika afisi za Jaramogi Oginga Odinga hapa Nairobi aidha kitatoa mwelekeo kuhusu mazungumzo ya kutafuta mwafaka yaliyosambaratika wiki iliyopita.