Muungano wa Azimio wasisitiza mikutano yake ni ya amani

  • | KBC Video
    34 views

    Muungano wa Azimio la Umoja One Kenya umesisitiza kuwa mikutano unaanda sehemu mbali mbali nchini,ni ya amani na kwamba haifai kuchukuliwa kama maandamano.Muungano huo hata hivyo umeapa kuongeza shinikizo kwa serikali kushughulikia maswala yanayowakera Wakenya kama vile gharama ya juu ya maisha.Na kama anavyotujuza mwanahabari wetu kutoka kaunti ya Kisumu,viongozi wa muungano huo wameshikilia sharti wadau wote washirikishwe katika mchakato wa kunda upya tume ya uchaguzi,IEBC.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #azimiolaumoja laUmoja #News