Muungano wa Azimio wataka uchunguzi wa mauaji

  • | Citizen TV
    7,590 views

    Muugano wa Azimio sasa unamtaka mshirikishi maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu maandamano ya amani kuwasili nchini kuchunguza visa vya polisi kutumia nguvu kupita kiasi kukabiliana na waandamanaji mbali na kuhusika na mauaji. Mshauri wa maswala ya sheria wa Azimio Paul Mwangi akisema wanatafuta ushahidi dhidi ya polisi hao ili kuwafungulia mashtaka katika mahakama ya kimataifa ya jinai huko The Hague.