Muungano wa Kenya Kwanza umepuuzilia mbali hatua ya Kalonzo kujiunga Azimio

  • | K24 Video
    222 views

    Muungano wa Kenya Kwanza ukiongozwa na naibu rais william ruto umepuuzilia mbali hatua ya kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka kujiunga tena na Azimio. Viongozi hao wanamtahadharisha Kalonzo kuwa ahadi alizopewa hazitatimizwa ikiwa muungano wa azimio utachukua mamlaka baada ya uchaguzi wa Agosti tisa.