Muungano wa Kenya Kwanza umetia saini mkataba wa kutumiza ahadi walizowapa wanawake

  • | K24 Video
    161 views

    Muungano wa Kenya Kwanza umetia saini mkataba wa kutimiza ahadi ulizowapa wanawake ikiwemo kuzingatia matakwa ya katiba ya uwakilishi wa thuluthi mbili wa jinsia moja serikalini. Ahadi hizo zinatarajiwa kutimizwa katika siku stini za kwanza uongozini endapo muungano huo utashinda uchaguzi wa SAgosti tisa. Viongozi hao wakionyesha kurisdhishwa na uamuzi wa Ruto kumteua Gachagua kama naibu wake .