Muungano wa KEPSHA waridhishwa na ripoti ya jopokazi la kutathmini mtaala wa CBC

  • | K24 Video
    127 views

    Muungano wa walimu wakuu wa shule za msingi KEPSHA umesema kuwa umeridhishwa na ripoti ya jopokazi la kutathmini mtaala wa CBC kuhusu mkondo mpya wa mtaala huo. Walimu hao wakuu wamesema kuwa wako tayari kufaulisha masomo ya gredi ya 7,8 na 9 katika shule za msingi. Mkutano wa kila mwaka wa muungano huo utaanza siku ya jumanne huko mombasa.