Muungano wa KUPPET kutoka Garissa waitaka serikali kuzingatia maeneno yenye ukosefu wa usalama

  • | NTV Video
    68 views

    Huku mgomo wa walimu ukiendelea kutiwa makali katika sehemu mbalimbali nchini, katika kaunti ya Garissa muungano wa walimu wa elimu ya baada ya msingi (KUPPET) sasa wanaitaka serikali kuzingatia kuwalipa posho maalum ya pesa kutokana na kufanya kazi katika maeneo yenye ukosefu wa usalama

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya