11 Mar 2026 1:15 pm | Citizen TV 125 views Duration: 1:59 Muungano wa maafisa wa Kliniki na ule wa Wataalamu wa maabara katika kaunti ya Turkana, wameafikiana kusitisha mgomo wao uliochukua muda wa siku tano baada ya serikali na miungano hiyo kutia saini mkataba wa makubaliano.